Thursday, June 16, 2011

Utambulisho wa Awali.

Mimi kama kijana wa kileo mwenye kupenda maendeleo nimeamua kufungua blog hii ikiwa na maana ya kukemea na kulaani vitendo vibaya vinavyofanywa na baadhi ya watu wakidhani wako sahihi kumbe lah